Herzogg
JF-Expert Member
- Apr 17, 2024
- 4,573
- 1,386
Naunga mkono hoja.Lord of the rings sijaona kitu kabisa, character wake hawana mvuto lakini pia kuna too much animation kwenye hii series. Sishauri mtu kuipakua
Series haina chochote mule ndani, inalazimishwa tu kwa kupitia umaarufu wa zile muvi za lord of the rings watu wapige pesa.
Ukiachana na cinematography, hakuna cha maana humu.
Pure definition of fantasy crap ndio hii sasa.