DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 13,895
- 31,139
Inahusu nini kuna jamaa niliona anaiangaliaView attachment 3093406
Itafute mtu wangu
Inahusu nini kuna jamaa niliona anaiangaliaView attachment 3093406
Itafute mtu wangu
Naunga mkono hojaWazee wa heist movies tafuta hizi
Oceans 1,2,3
Tafuta now you see me
Ulinambia niitafute ndo nikawa nimeishushaNimeona na 30 coin 🔥🔥
Umeziona hio oceans jamaa anatoka jela polisi anamwambia see you soon🤣Naunga mkono hoja
Uhalifu na madawa ya kulevyaInahusu nini kuna jamaa niliona anaiangalia
Kalii sana hizo mkuuUlinambia niitafute ndo nikawa nimeishusha
Nimeicheki mkuu ni kazi kalii sanaUmeziona hio oceans jamaa anatoka jela polisi anamwambia see you soon🤣
Nimeshaona hii mkuu ni ya wa swedish Ina season 2Ukipata muda tafuta agent hamilton
Hiyo oceans ni mwaka gani nitumie cover yake nimejaribu kutafuta zinakuja nyingiNimeicheki mkuu ni kazi kalii sana
Zipo tano muundo wa pirates of carribean.. anzia ya 2001 2004 2007 2018 ila kali ni 2001 hadi 2007Hiyo oceans ni mwaka gani nitumie cover yake nimejaribu kutafuta zinakuja nyingi
Hiyo oceans ni mwaka gani nitumie cover yake nimejaribu kutafuta zinakuja nyingi