Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,248
- 79,831
Duh balaa sanaNi mtoto wa kike huyo kashikwa tako kareact
Duh balaa sanaNi mtoto wa kike huyo kashikwa tako kareact
Nnabando sina jina la muvi iloyo jaa action nitajie z hivi karibuni niruke nazoDuh balaa sana
Nnabando sina jina la muvi iloyo jaa action nitajie z hivi karibuni niruke nazo
1.rings of power
Nataka hiyo sistas
Hiyo pia ni kali kinouma ila kuna ushoga wa kutisha huko na ngono za kutishaNataka hiyo sistas
Ngono ndio napenda☺️Hiyo pia ni kali kinouma ila kuna ushoga wa kutisha huko na ngono za kutisha
Nakujua wewe😁😁Ngono ndio napenda☺️
Astaghafirullah 😁 🤣 😂 😁Ngono ndio napenda☺️
Naam kalii sana hizo😎1.rings of power
2.Bel air
3 seal team
Inahusiana na nini?Twisted metal Cc Carleen Mr Q
Itafuteni kalii sana hii ipo season 1 season 2 ishaanza kupikwaView attachment 3080173
John Doe, mtu wa nje asiye na kumbukumbu ya maisha yake ya zamani, anapewa fursa ya mara moja maishani ili kutimiza matakwa yake ya kutafuta jumuiya, lakini tu ikiwa anaweza kufanikiwa kutoa kifurushi cha ajabu katika eneo la nyika la postapocalyptic. Kwa usaidizi wa Quiet, mwizi wa gari mwenye furaha anayetafuta kulipiza kisasi, anakabili wavamizi waliopotoka wanaoendesha magari ya uharibifu na hatari nyinginezo za barabarani, kutia ndani askari wa doria wa barabara kuu na mcheshi asiye na mwelekeo ambaye huendesha lori la aiskrimu alilolifahamu sana.Inahusiana na nini?
Nimeipenda jina la seriesJohn Doe, mtu wa nje asiye na kumbukumbu ya maisha yake ya zamani, anapewa fursa ya mara moja maishani ili kutimiza matakwa yake ya kutafuta jumuiya, lakini tu ikiwa anaweza kufanikiwa kutoa kifurushi cha ajabu katika eneo la nyika la postapocalyptic. Kwa usaidizi wa Quiet, mwizi wa gari mwenye furaha anayetafuta kulipiza kisasi, anakabili wavamizi waliopotoka wanaoendesha magari ya uharibifu na hatari nyinginezo za barabarani, kutia ndani askari wa doria wa barabara kuu na mcheshi asiye na mwelekeo ambaye huendesha lori la aiskrimu alilolifahamu sana.
Itazame nzuri sanaNimeipenda jina la series