Series (Special thread)

Kwahiyo unatushawishi ili tudanganyike 😁😁😁

Anyway naomba kujua haya.
Haina uchawiuchawi na mambo ya superPower?
 
Leo nimemaliza kuangalia LOST.

Miongoni mwa series za kipuuzi ni hii.
Unavyozidi kuiangalia ndivyo inavyozidi kukuacha na maswali kitu ambacho ni kizuri lakini disappointment inakuja pale unapoimaliza series yote halafu maswali uliyonayo hayajajibiwa, kuna mysteries bado hazijawa solved kana kwamba writers walikua wanaziweka tu hata wao hawajui majibu yake, what a waste of time.
 
πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜ Hapo bado ujakutana na dark ujakutana na fringe hizo komaa nazo mkuu baadae utaenjoy tu now tulia kwa umakini utapata Raha series nzuri sana hiyo ukimaliza hiyo cheki na from maana Kuna character wa lost wapo kwenye from
 
From nasubiri season 3....... l hope na wao hawatomaliza hii series bila kutujibia maswali waliyotuwekea.
 
pole sana, hio movie ni among of my personal best series.. napenda sana movie za kaliba hizo zakukchanganya.
 
Fringe ya moto sana
, umenikumbusha ngoja nikairudie.
 
pole sana, hio movie ni among of my personal best series.. napenda sana movie za kaliba hizo zakukchanganya.
Series haijanichanganya, isipokua wamenikera kuimaliza ikiwa na loose ends za kutosha.

Kama umeangalia series nyingine kali ila zilizoisha kijinga kama Game of Thrones, Dexter n.k utakua umenielewa namaanisha nini.
 
πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜
 
One of my best series, mfano wamystery ipi haijawa solved?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…