Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mkuu umekwama wapi nipe screen shot nikuelekeze mkuu
Screenshot_20240909_160628_Chrome.jpg
 
Mkuu vp the wire kwa ulipofikia umeionaje.
Iko vizuri sana ila wakati na download naona kuna segment zilikuwa skipped hivyo kuna baadhi ya scenes kama sekunde kadhaa zilikuwa zinaruka.

Kwa hiyo nikaamua kui download upya.

Bahati mbaya wakati imefikia 53% Airtel wakanipunguzia speed ya internet.

Nikaamua nitulie kwanza niiweke pending mpaka pale network itakapotulia nilikuwa nipo season 2 episode ya 7.
 
Hivi breaking bad ilikushinda?
 
Ni ya yule mwana mama? Kama ni hiyo huwa naishia njiani
Mi sijawahi kuicheki, watu waliniambia inafanana na Breaking Bad ndio maana nikaipotezea.

Ila kama uliweza kuipenda Breaking Bad basi kwa experience niliyoipata kwa wadau wa Breaking Bad wote walionekana kuikubali hiyo Better call Saul.

Ila kama unapenda Series za Ki Gangster zinazohusu drugs naweza kukushauri ucheki
1. Narcos
1725913018544.png

2. The Wire
1725913116684.png

3. Power
1725913252024.png
4. Goodfather Of Harlem
1725913538632.png
 
Mi sijawahi kuicheki, watu waliniambia inafanana na Breaking Bad ndio maana nikaipotezea.

Ila kama uliweza kuipenda Breaking Bad basi kwa experience niliyoipata kwa wadau wa Breaking Bad wote walionekana kuikubali hiyo Better call Saul.

Ila kama unapenda Series za Ki Gangster zinazohusu drugs naweza kukushauri ucheki
1. Narcos
View attachment 3092003
2. The Wire
View attachment 3092004
3. Power
View attachment 30920074. Goodfather Of Harlem
View attachment 3092015
Hizi series kalii sana 🔥 🔥 ndio zimefanya hadi nikawa mtoro na kutega kazini siku ya ijumaa
 
‘SHOGUN’ just broke the record for most Emmy wins for any single season of TV.

The series is still expected to win even more Emmys next week.
20240910_050432.jpg
 
‘SHOGUN has already won 14 Emmys, an all-time record for a single season of TV.

• Best Sound Mixing
• Best Sound Editing
• Best Picture Editing
• Best Cinematography
• Best Period Costumes
• Best Main Title Design
• Best Production Design
• Best Prosthetic Makeup
• Best Stunt Performance
• Best Casting for a Drama
• Best Special Visual Effects
• Best Period/Fantasy Makeup
• Best Period/Fantasy Hairstyling
• Best Guest Actor in a Drama (Nstor Carbonell)
20240910_052116.jpg
20240910_052121.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom