Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,255
- 79,850
Naunga mkono hojaBila kusahau Presumed Innocent bonge moja la thriller 🔥
Naunga mkono hojaBila kusahau Presumed Innocent bonge moja la thriller 🔥
When I say do a thing...that thing gets fuckin done😂Bunny ana kauli flan za ushindi sana, anamwambia Mike " man kiss ma ass man, Sweden Switzerland crackerland , whatever cracker ass country babysitting the other cracker ass country, when y'all motherfuckas be blowing shit Up,. That!" 😂😂
"A Switzerland" Cc Mr QView attachment 3082354
Series ipo vizuri sana hii kaka pitia juu utaona nilitupia screen shot nikiicheki natamani sana kuwa kama Mr mikeWhen I say do a thing...that thing gets fuckin done😂
Mr Mclusky
Kabisa Mr Mike ana tambo za kibabe unataman uwe yySeries ipo vizuri sana hii kaka pitia juu utaona nilitupia screen shot nikiicheki natamani sana kuwa kama Mr mike
Yeah exactly 💯 kaka hii inafaa Carleen aichekiKabisa Mr Mike ana tambo za kibabe unataman uwe yy
Kuna episode anamtia mkwara nigga fln ivi et "u cant kill me coz u fuckin need me, I'ma person who make yo life possible in this town" 🤣
Sema kweli kuna nafuu kabisaBora wasagaji asee kuliko mashoga kuna series ukikutwa na washkaji unazitizama halafu zimefika kipengele midume inanyinyana ndimi unaweza tamani ukimbie. Usije kujiroga kucheki series inaitwa the oval
Hiyo niliifutaTafuta na mayor of Kingston
😁😂😁😁 Duh 😂😁😁😁Hiyo niliifuta
169GBNi Moja ya series kalii za muda wote kama ujawahi kuicheki siku ukiitazama utajuta kwanini hukuwahi kuitazama
Tafuta ssd kaka 😂 😁169GB
View attachment 3082381
Na space ndio mchawi
View attachment 3082382
Labda niichukue hii
View attachment 3082383
Naunga mkono hoja aandae laki Moja anapata TB 2
Kwema Boss Selikavu nimeimaliza black clover. Iko vizuri.Yeah niliona
Ila me naona kama ni modernized Attack on Titan😃
Solo nangojea mwendelezo wake wakichelewa sana nitasoma Manga tuu
Black clover umechek??
Kwema mkuu...Kwema Boss Selikavu nimeimaliza black clover. Iko vizuri.
Saizi nimeona nikomae na One Piece, ndio tumeingia Grand Line, aisee huku ni moto kuna wababe
😁😂😂😂Kuna wazungu pia 😎😎😂😂🙌
kwahiyo ukiona 'black American swaggs' unanikumbuka..!!?
Duh Mimi vijana waliiba TB 4 yangu aisee ilijaa Data kibaoView attachment 3082576
Hapa kuna mzigo wa 1TB na 2TB yote iko full ni muda wa kutafuta 4TB sasa maana kila nikiangalia cha kufuta sikioni,yan humo kuna hadi series za zamani kama lost,son of anarchy,banshee,nikita,shades of blue n.k 😀
Pole sana mkuu,hivi 4TB TZ inauzwa bei gani?Duh Mimi vijana waliiba TB 4 yangu aisee ilijaa Data kibao
Ukiwa na laki 3 na 70 kaka unapata kariakoo palePole sana mkuu,hivi 4TB TZ inauzwa bei gani?