Sicario poison
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,325
- 4,569
Sio kweliNi ya yule mwana mama? Kama ni hiyo huwa naishia njiani
Better call saul ni series inayomhusu yule lawyer(saul au jimmy mcgill) aliekuwa anawasaidia walter white na jessy pinkman kuepukana na vyombo vya sheria
Jinsi alivyopambana kutoka kimaisha na na kupata potential clients