Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,251
- 79,832
Afande mnoko kayatimba 











Kama aliishindwa homeland hii atoiweza 😁😂😂😂Scars anakosa mengi. Hii series inaonesha maisha halisi wanayopitia pandikizi wanaowekwa kwenye nchi ambazo kiusalama ukigundulika ni kifo
Hiyo ya hao wasagaji sikuimaliza..Scars anakosa mengi. Hii series inaonesha maisha halisi wanayopitia pandikizi wanaowekwa kwenye nchi ambazo kiusalama ukigundulika ni kifo
Hata the wire Kuna wasagaji mbeleni 😁😂😂Hiyo ya hao wasagaji sikuimaliza..
Tulia kwanza nikomae na The Wire, nikimaliza series bora ndio nitaanza kujivuta vuta kucheki hizo
Yeah Gregg's na mwenzakeHata the wire Kuna wasagaji mbeleni 😁😂😂
😁😁😁😁😂😂😁😁 Ukimaliza tafuta na the sopranos ipo kama the wireYeah Gregg's na mwenzake
Sasa bora hao sio main characters
Hiyo ya zamani sana huwa zinakata mizuka labda iwe comedy😁😁😁😁😂😂😁😁 Ukimaliza tafuta na the sopranos ipo kama the wire
Lakini ntaichukua hivyo hivyo maana rate zake zinashawishi😁😁😁😁😂😂😁😁 Ukimaliza tafuta na the sopranos ipo kama the wire
Duh unakosa madini Sana Mkuu 😂 😁 😁Hiyo ya zamani sana huwa zinakata mizuka labda iwe comedy
Ni Moja ya series kalii za muda wote kama ujawahi kuicheki siku ukiitazama utajuta kwanini hukuwahi kuitazamaLakini ntaichukua hivyo hivyo maana rate zake zinashawishi
NtaichekiNi Moja ya series kalii za muda wote kama ujawahi kuicheki siku ukiitazama utajuta kwanini hukuwahi kuitazama
Bora wasagaji asee kuliko mashoga kuna series ukikutwa na washkaji unazitizama halafu zimefika kipengele midume inanyinyana ndimi unaweza tamani ukimbie. Usije kujiroga kucheki series inaitwa the ovalHiyo ya hao wasagaji sikuimaliza..
Tulia kwanza nikomae na The Wire, nikimaliza series bora ndio nitaanza kujivuta vuta kucheki hizo
Tafuta na mayor of KingstonNtaicheki
Kwa sasa ipo season ya ngapi maana nahisi niliishia season 1Tafuta na mayor of Kingston
hii mbona imeisha Hadi s3Kwa sasa ipo season ya ngapi maana nahisi niliishia season 1
Zipo season 3 ya 3 imetoka na imetimia vipande vyote 10 vipi ulionaje harakati za mike na yule banny na nduguye 😁😂😁😁Kwa sasa ipo season ya ngapi maana nahisi niliishia season 1