Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,234
- 79,765
Speed inaridhisha usisahau red eyeKilichobaki ni ku set schedule tu
View attachment 3031006
Kwema Mkuu. Ippo nimeimaliza, ni moja ya Anime Kali Sana.Mwananchi B Mkuu kwema...
Umemaliza Ippo??
Vip pia Demon Slayer naona Hashira Training Imefikia mwisho nimeona episode ya nane hapa ilipoishia nitasoma hata Manga aseee sio pow kabisa watakuja kutuua hawa jamaa
Huioni hapo ina 15GB na ime seed tayart?Speed inaridhisha usisahau red eye
Kweli niliiruka sikuangalia vizuriHuioni hapo ina 15GB na ime seed tayart?
Kazi inaanza episode ya nane mwishoni😄Kwema Mkuu. Ippo nimeimaliza, ni moja ya Anime Kali Sana.
Duuuuh, kumbe Demon slayer wameishia Episode ya 8? Mimi nilicheki Episode ya 7 nikasema hapa kazi ndio kwanza inaanza
😑😑😧😧👶👶animesheni kabisa?🗣🗣Kazi inaanza episode ya nane mwishoni😄
Ippo nipo nasoma manga nipo Volume ya 100
Nimemtag mhusika moja kwa moja kwa tunaopenda kuangalia Japan Anime...😑😑😧😧👶👶animesheni kabisa?🗣🗣
Daaaah.Kazi inaanza episode ya nane mwishoni😄
Ippo nipo nasoma manga nipo Volume ya 100
Ya ippo hii ila pia chini wameweka link ya group la manga zoteDaaaah.
Season inayokuja tutasubiri sana.
Manga huwa unasomea website ipi Mkuu?
Shukrani Sana Mkuu.Ya ippo hii ila pia chini wameweka link ya group la manga zote
![]()
Hajime No Ippo Manga
Hajime no Ippo (はじめの一歩) Start Date - 1989 Status - RELEASING Score - 85 Anilist Genres - Action, Comedy, Drama, Sports 📚 Black & White Manga: @Manga_Gallery Anime: @Anime_Gallery Group: @Anime_Discussion_Cafet.me
Ippo muendelezo wake nadhani ni Round 558 sikumbuki ni volume ngapi kama utakuwa interested nayo nitakutafutia inapoendelea pale ilipoishia Anime
Kwa sasa nAngalia hii Kaiju No 8Shukrani Sana Mkuu.
Tujulishane pia kwa anime nyingine Kali.
Namimi ndio nipo kama episode ya 4.Kwa sasa nAngalia hii Kaiju No 8
Yeah nilionaNamimi ndio nipo kama episode ya 4.
Pia niliangalia Solo leveling, sema hii idea yake inafanana na One Punch man kama uliiangalia.