Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ndio nilimfatilia kabla sijaanza kuiangali maana nilishangaa muhindi kafata nini Hollywood tena.

But ameishi US mda mrefu kidogo ndio maana hata lafudhi yake huwezi kugundua...nmempenda bure hahahaha

Ingawa kwenye acting za action bado hajafiti vizuri kihollywood hollywood maana ni mzito sana hata kwenye mapigano,kukimbia na kuruka viunzi, naona kama anampa kazi kubwa sana director wake.

Huyu mbona Kama priyanka chopra😐😐😐
 
Liam angekuwa anamtaka kimapenzi asinge mtumia booth huku anajua kisha sex nae

Miranda alimwambia Liam vile kwa vile walishawahi kuwa wapenzi kabla ya Liam kuwa demoted from top official wa FBI to a trainer so anahisi Liam yuko after Alex kimapenzi

Kama uliangalia part ya Miranda ana mvisit Riana(pacha) baada ya kudrop out of academy with out information alimsimulia rudia that part kuna sectret reveled coz alikuwa emotional

Booth kesha gundua Liam yuko after something bad kwa Alex kumbuka order alizokuwa anapewa na kwa sababu yuko in love kwa Alex ameamua kumsaidia from inside hence lazima a pretend!
ok..let wait and see..what if alex ndo bomber..Swala la yeye kupona peke yake nalo linanipa maswali..Na jinsi wanavyoshirikiana na booth sielewi..Kama alex hajahusika it means Alex didnt shoot Booth..Why Booth aseme Alex ndo alimpiga risasi?..Kuna mchezo unaendelea hapo
 
Ukiangalia hata kwenye hiyo video uliyoattach unaona kabisa ni mzito kucheza,

Huyu binti kwa kweli ni mzuri na anavutia but hiyo ndio kasoro yake inabidi afanye sana mazoezi
Watoto karibia wote wakali aisee..It seems like FBI inarecruit watt wazuri tu
 
ok..let wait and see..what if alex ndo bomber..Swala la yeye kupona peke yake nalo linanipa maswali..Na jinsi wanavyoshirikiana na booth sielewi..Kama alex hajahusika it means Alex didnt shoot Booth..Why Booth aseme Alex ndo alimpiga risasi?..Kuna mchezo unaendelea hapo

Ukiangalia Booth alitoa jibu kama la kumridhisha Liam ili apate discharge pale hospital.

Ndio maana ameaidi kumsaidia
 
Ukiangalia Booth alitoa jibu kama la kumridhisha Liam ili apate discharge pale hospital.

Ndio maana ameaidi kumsaidia
Mkuu ushahidi alioutoa Booth ni mkubwa sana..Sidhani kama angeweza kusema vile kwa lengo la kuruhusiwa hospital tu..Nadhani kuna kitu nyuma ya pazia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom