FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
Nzuri wala usiache kuitafuta...
Pamoja mkuu
Nzuri wala usiache kuitafuta...
Nzuri wala usiache kuitafuta...
Pamoja mkuu
Ipo Season Ya Ngap?
Ipo Season Ya Ngap?
Though ni ya zamani kidogo sijui kama utaweza kuipata...
Creator wake ndiye huyo huyo aliyetengeneza Lost na Fringe...JJ Abrams
Booth simuelewi..Inaonekana anamsaidia Alex..Lakini kwann alisema Alex ndo aliyemshoot,kitu kilichopelea jina la Alex kuwa released kama terrorist
Anaejua new series ya ma zombie anaomba aniambie tofauti na z nation
Ni ya zamani mkuu kama 2005 hivi ndio ilikuwa mara ya mwisho kutoka...
Mi prison break ilinifanya nisiiangalie Alias mkuu blindspot inazidi kuwa nzuri!
Blindspot, quantico, homeland ziko poa sana... napenda sana movie za intelijensia
Kuna aliyeziona limitless na the player
Blindspot, quantico, homeland ziko poa sana... napenda sana movie za intelijensia
Ndio yeye mkuu
Ndiyo mwenyewe huyo....mlimbwende wa Kihindi....huyu na Aishiwarya ni moja ya walimbwende wakali waliowahi kubeba Miss World...
Ndo jina lingine sure nani mlosema?
Homeland niliishia season 3..Baada ya Brody kunyongwa mzuka ukapungua..Ntaitafuta tena