Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
Hahaha pinguin jamaa snitch balaa ntaishusha hii nikipata nafasi
Teh teh..Penguin noma..Naipenda role yake..Ipo ep04 now...hujachelewa bado
Hahaha pinguin jamaa snitch balaa ntaishusha hii nikipata nafasi
Scandal
Lost
House of cards
Huyu jamaa huwa kwenye kipengele chake hakosei anatumia akili
Kwenye PI nimemkubali,kwenye lost alicheza kipengele alikuwa mbaya na mjanja mpaka anaboa
Kwenye PI nimemkubali,kwenye lost alicheza kipengele alikuwa mbaya na mjanja mpaka anaboa
Sijui kwa nini directors kwenye most series or movie huwa wanamuua huyu binti michele rodriguez
Sijui kwa nini directors kwenye most series or movie huwa wanamuua huyu binti michele rodriguez
Sijui kwa nini directors kwenye most series or movie huwa wanamuua huyu binti michele rodriguez
sure...My guess mpaka sasa niQuantico sasa inakuwa nzuri
sure...My guess mpaka sasa ni
-simon,liam or shelby is a traitor
-simon sio gay
-Liam aliwahi kuwa na mahusiano na mama yake alex(sita)..na nyuma yao kuna siri kubwa
Liam nafikiri ndo traitor anatumiwa na walio m train mtoto wa Miranda kuwa terorrist huku, Miranda ana watumia Minah na riana(pacha) pia Alex ili kuwabaini terorrist crew na kurevange, on otherside side nafikiri Alex ni mtoto wa Liam na anamtumia booth kumprotect pia kulinda siri zake na Sita so anaamini kuwa Alex akijua the real truth atamexpose pia nakubaliana nawe pia Simon is a treasonist, or conspirator
hivi mtt wa miranda yupo jail kwa kosa gani?
Nilikuwa najiuliza why Miranda anamsaidia Alex..Uenda ikawa hivyo ulivyosema
Kuna kauli Miranda aliitoa kwa Liam inaonyesha Liam alikuwa anamtamani Alex kimapenzi..Sidhani kama anaweza kuwa mtt wake..
Booth simuelewi..Inaonekana anamsaidia Alex..Lakini kwann alisema Alex ndo aliyemshoot,kitu kilichopelea jina la Alex kuwa released kama terrorist
Liam angekuwa anamtaka kimapenzi asinge mtumia booth huku anajua kisha sex nae
Miranda alimwambia Liam vile kwa vile walishawahi kuwa wapenzi kabla ya Liam kuwa demoted from top official wa FBI to a trainer so anahisi Liam yuko after Alex kimapenzi
Kama uliangalia part ya Miranda ana mvisit Riana(pacha) baada ya kudrop out of academy with out information alimsimulia rudia that part kuna sectret reveled coz alikuwa emotional
Booth kesha gundua Liam yuko after something bad kwa Alex kumbuka order alizokuwa anapewa na kwa sababu yuko in love kwa Alex ameamua kumsaidia from inside hence lazima a pretend!
Nmecheki mpaka ep 2... ni nzuri kuiangalia coz sorry yake ni ya kupendeza
Sure Alex parish alikuwa miss India mwaka 2000 in real life pia mwanamziki moja nyimbo hii hapa :- YouTube video! http://www.youtube.com/watch?v=sPhhZg9v9NU