Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
Naipenda sana jana imeisha sehemu nzuri
Ntaitafuta kama vipi
Naipenda sana jana imeisha sehemu nzuri
The Player yes...
Limitless nope...movie yake ile ya Brad Cooper sikuipenda hivyo nimekosa shauku ya kuitazama...
Ndo jina lingine sure nani mlosema?
Inabidi niishushe usiku huu
I love this movie....my all time best movie alongside hitch ya Will Smith.
Mi pia i see niliirudia zaidi ya mara tano na pia idea ya movie ilinisaidia kung'amua swali kwenye mtihani! Lililosema International organizition a like trojen horse substantiate? Siwez sahau nakumbuka ndo ilikuwa na miaka 2 imetoka
Nafikiri we pia ni mpenzi wa ancient stories movie
Hujakosea kaka....yaaani ntafurahi ukinipatia majina ya movies na series za dizaini hizi mkuuu....
Umeshatazama seventh son???
Sijaiona mkuu kwani ni muda sasa nimekuwa napendelea zaidi series but chache nazokumbuka
300
Alexender the great
Pirates of carebean
Apocalypto
King solomon mines
Mummies 1,2,3
Journey to the centre of the earth
Down to the centre of the earth
Crash of titans
Hercules
Ancient rome
Pompeii
Gradiator
Series za ancient stories baadhi nazokumbuka na ninazoangalia:-
Spartacus
Rome
Da Vinci demons
Legend of the seaker
Game of thrones
Sinbad
Marco polo
Vikings
The last kingdom (mpya)
Korean ancient stories series:-
Chuno
King Gwangaeto
Jumong
Queen sadok
Bridal mask
Kuna movie ambazo zina frash back to ancient stories
Black knight
John carter
Kuna series zinakuwa zina element zote ancient na current kama:-
Faith
The 100
Mkubwa hio sinbad vp iko vizuri km vile zile story zke za vitabuni au mana napenda sana movie za namna hyo pia hzo seriez ulizozianisha hapo nshachek zte kasoro hyo sinbad na hapo koreani bdo chuno na queen sadok araf king gwangae hyo ina husu nini mana nshazichek km tatu za king gangwaeto ila story tofauti
Tafuteni the BOOK OF NEGROES
Mkuu yumkini ni wewe ulianzisha huu uzi lakini pia na haki yakutoa pendekezo langu mimi naomba ufanye update kwa new movies!Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.
Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.
1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead
Hizo ni baadhi tu..
Kuna Empire
Empire ninzuri ila ananiudhi Jamal ila nakuja kumpenda katika kipaji cha kuimba...then nilijua anaect ushoga kumbe wapi bwabwa nimemfatila instagram wanamtukana sana na yeye anapromoti ushoga ndo nikajua mshumaa!!Move ni The power ambapo kuna dada wa empire yupo huko na 50 cent sasa season 3 itakuwa nzuri ghost atatafutwa kwa mauaji ya shown na fift cent atakuwa natafutwa na tom itakuwa nzuri sana!Empire nasubiri ztoke episode zote me napenda nkiangalia naangalia zte kwa mkupuo hta wiki