Za kikorea VP hasa za mapanga coz zina historia nzur
Mkuu series gan mpya za Hollywood?, za action na mission kma strike back na prison break
Quantico,
blindspot,
The player
Hizo ni mpya hazijafika hata episode 6
Hiyo Quantico ya ukweli sana..wameanza poa
Hiyo Quantico ya ukweli sana..wameanza poa
....heheh mkuu au kwa kuwa kuna walimbwende wa kutosha
....heheh mkuu au kwa kuwa kuna walimbwende wa kutosha
Ina colour nzuri story yake nzuri pia ina side kama nne zinazokinzana kwa maslahi yao
Nashukuru
Hahaha Nafikiri actors wake pia wanaleta mvuto ingawa wananikera kuingiza ushoga
Yeah..Blindspot naicheki nayo..Ila Quantico imenivutia zaidi so far
Dah...
Mkuu kwa maisha ya mbele ushoga upo kila mahali...
Kama unamkumbuka Neil wa White Collar au Scotfield wa Prison wote hao machoko...ingawaje hawajionesha hivyo ktk series hizo
Blindspot inaenda ina change at first nilifikiri wataloose plot kwa kuwa so direct but baada ya episode ya tatu story imekuwa puzzled Nafikiri itakuwa nzuri sana pia mbeleni
Gotham Season 2 nayo inaendelea..kwa wale walioicheki