Series (Special thread)

Series (Special thread)

Yeah niliona

Ila me naona kama ni modernized Attack on Titan😃

Solo nangojea mwendelezo wake wakichelewa sana nitasoma Manga tuu


Black clover umechek??
Sure, sema attack on Titan ni moto.

Black clover bado, ngoja niishushe.

Maana sahizi namalizia Hii Kaiju, Nianze Kengan Ashura, halafu tamalizia na hii Black clover.
 
Itafute
20240621_115519.jpg
 
Screenshot_20240704-134119.jpg

Chagua Moja mtu wangu
 
Mwananchi B Mkuu kwema...

Umemaliza Ippo??


Vip pia Demon Slayer naona Hashira Training Imefikia mwisho nimeona episode ya nane hapa ilipoishia nitasoma hata Manga aseee sio pow kabisa watakuja kutuua hawa jamaa
Ndio namalizia episode ya 8 Aisee.

Kwanza hizo dakika 40 zilikuwa kama Dakika 5 tu Aisee. Sipati Picha hilo battle la season inayokuja Aisee, itakuwa ni battle juu ya battle na wale Upper Rank Demons.
 
Ndio namalizia episode ya 8 Aisee.

Kwanza hizo dakika 40 zilikuwa kama Dakika 5 tu Aisee. Sipati Picha hilo battle la season inayokuja Aisee, itakuwa ni battle juu ya battle na wale Upper Rank Demons.
Kuna jamaa ameniambia sasa watatoa anime full sio kwa episode tena


Sa ilipoishia hapana kama watachelewa kutoa nitasoma manga tuu😃😃😃
 
Vincenzo Jr naomba website nzuri haitumii mb kubwa kama mb 400 kushuka Chini nahitqji movie inaitwa Welcome to acapulco


Pitia na hapa šŸ‘‡HDMp4Mania | Download Mp4 Movies and Wrestling Shows for Free in Mobile HD Quality movie zake ni mb 400 pia ila movie hii huku haipatikani imepatikana yts ikiwa na mb 700 mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom