Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 15,859
- 36,171
Hiyo haina kuchanganya, mbona episodes zote za moto...tuliza akili tu. Mimi napanga niirudie kwa mara ya pili!Jamani ilichanganyia episode ya ngapi au season ya ngapi? Mi ilinishinda locha ya kujaribu mara kadhaa