Series (Special thread)

Series (Special thread)

Aegon one eye ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Huyo ni Aemond mkuu, Aegon ni kaka yake Aemond, Aegon ni yule mfalme mapepe.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Uzuri/ubaya wa House of the Dragon ni kuwa haina watu wazuri wa kuwashabikia, watu wote ni wabaya hakuna mtu mwema. Kwenye Game of Thrones watu ilikuwa rahisi kuchagua upande wa kushabikia kwakuwa kulikuwa na watu wema.
IMG_1246.jpeg

Aemond One Eye ๐Ÿ‘๏ธ
Huyu jamaa ndio namshabikia mimi katika huu mchongo wa House of the Dragon!
 
View attachment 3025413
Aemond One Eye ๐Ÿ‘๏ธ
Huyu jamaa ndio namshabikia mimi katika huu mchongo wa House of the Dragon!
Kabisa Mkuu nimechanganya majina niliandika nikiwa nimelewa
 
Wale wote wote tunaomkubali mwamba Brayan Cranston almaarufu kama Walter white wa Breaking Bad aisee hakikisha unatazama series hii Bomba kabisa
Hakika hiki ni kipaji halisi apa duniani huyu ni mwamba Nampa nyota 5
YOur Honor
View attachment 3017009
Asee the judge amepata shida sana. Ukisikia njia panda dilema/conundrum ndio hiyo sasa. Watu wanajua kutunga kwakweli
 
The boys mishen yake ni nini haswa?
Mashujaa mara nyingi ni maarufu kama watu mashuhuri, wenye ushawishi kama wanasiasa, na wakati mwingine hata kuheshimiwa kama miungu. Lakini hapo ndipo wanatumia nguvu zao kwa manufaa. Je, ni nini kinatokea wakati mashujaa wanafanya uhuni na kuanza kutumia vibaya madaraka yao? Wakati ni watu wasio na uwezo dhidi ya wenye nguvu kuu, Wavulana wanaenda kwenye harakati za kishujaa kufichua ukweli kuhusu Saba na Vought, mkusanyiko wa mabilioni ya dola ambao unasimamia mashujaa wakuu na kuficha siri zao chafu. Kulingana na mfululizo wa kitabu cha vichekesho cha jina moja.
 
The boys mishen yake ni nini haswa?
The Boys ni mtazamo usio na heshima kuhusu kile kinachotokea wakati mashujaa, ambao ni maarufu kama watu mashuhuri, wenye ushawishi kama wanasiasa na wanaoheshimiwa kama miungu, wanapotumia nguvu zao kuu badala ya kuzitumia kwa manufaa. Ni watu wasio na uwezo dhidi ya wenye nguvu zaidi huku The Boys wanapoanza harakati za kishujaa kufichua ukweli kuhusu "The Seven," na kuungwa mkono kwao kwa kutisha.
 
Yani ni kama harakati za bourne kuwaumbua maafisa ambao ni wachafu?
 
[1080p][BluRay]

Imetoka Leo Cc: Mr Q. Carleen
View attachment 3024495
Namalizia kuoshusha hapa ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
Screenshot_20240627-224312.png
 
Chagua moja mtu
Screenshot_20240628-105705.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom