Series (Special thread)

Series (Special thread)

Huyo finchi ni yupi maana lost nawapata karibia wote

Michael Emeson Kwenye Lost anajulikana kama Ben linus na kwenye PI anajulikana kama Finchi mkuu
 

Attachments

  • 1445031792025.jpg
    1445031792025.jpg
    3.1 KB · Views: 177
Za kikorea VP hasa za mapanga coz zina historia nzur

Mi napenda series za ancient stories lakini si za kikorea ingawa nimeangalia nyingi kiasi kama Chuno ,jumong, faith, king gwangaeto, queen sadok, bridal mask na nyinginezo tatizo zimekuwa na mfanano muda mwingine ziko predictable!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom