Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,291
😃😃Kaka Kigali hukwenda na Yanga???Cameroon mzuri sana huyu dadaView attachment 2862695
😃😃Kaka Kigali hukwenda na Yanga???Cameroon mzuri sana huyu dadaView attachment 2862695
Pitia na post za Leo nimeweka mizigo mipya kakaMkuu naomba series kali uliyocheki hivi karibuni!
Kaka wale ni magaidi 😁🤣🤣😃😃Kaka Kigali hukwenda na Yanga???
Kaka wale ni magaidi 😁🤣🤣😃😃Kaka Kigali hukwenda na Yanga???
😅😅😅😅Sasa hao wakina tokyo na Miguel sio😃😅Kaka wale ni magaidi 😁🤣🤣
Kaka Hawa wapo vizuri sana kwenye jambo lile wana ufundi wa kutosha sana Kuna mwaka nili date na demu wa kiispaniola nilipata sana raha😅😅😅😅Sasa hao wakina tokyo na Miguel sio😃😅
😅😅😅Kaka kumbe wewe ni wa kimataifa hongera sanaKaka Hawa wapo vizuri sana kwenye jambo lile wana ufundi wa kutosha sana Kuna mwaka nili date na demu wa kiispaniola nilipata sana raha
Asante kaka😅😅😅Kaka kumbe wewe ni wa kimataifa hongera sana
Poa poa, ngoja nizishusheNiliangalia hizi kaka Barry na Berlin nikamalizia na the brothers
Lipi kakaBalaa
Hata mimi binafsi sijawahi kuielewa hiyo game of thrones sijui watu wanaipendea niniNiliangalia episode 1 hata sikuimaliza yote ikanishinda
Pale ndio nikajua kweli duniani watu tumetofatiana upeo
Sio hiyo tu kuna moja inaitwa Band of Brothers nilikuta IMBD iko rated nikajichanganya.
Nyingine nimeisahau jina ila inamhusu jamaa mmoja hivi mzembe mzembe ana bastola kiunoni halafu anasumbuliwa na wavuta ganja wenye mapikipiki. Nikai dump.
Nilipokuja humu nikashangaa kuona watu wanaisifia kuwa ni bonge moja la series nikabaki nacheka tu
Iangalie Tena Kwa utulivu mpaka episode 3 hutaachaHata mimi binafsi sijawahi kuielewa hiyo game of thrones sijui watu wanaipendea nini
Shida ipo hapa kwa wapenzi wa hiyo series kwanini usiniambie uzuri wa hiyo series ni iupi?Iangalie Tena Kwa utulivu mpaka episode 3 hutaacha
Nimeangalia mara 3 ni kiboko ma nerd huwa wana vituko.ipi nyingine kali ya kucheka kama hiiKama unapenda kucheka hadi mbavu zikubane tafuta big bang theory 😁😁😁😁😁😁
荒地猎人那部电影的名字?
좋아요황무지 사냥꾼
欢迎兄弟