Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,165
- 123,285
Tumia IDMM
Mkuuu,hiyo ya 2017 ndo yenyewe. Captain Bozok
Tumia IDMM
Mkuuu,hiyo ya 2017 ndo yenyewe. Captain Bozok
Sawa mkuu. Ntafanya hivoTumia IDM
Ni nzuri ichukueWakuu kuna series inaitwa Reacher vipi iko vizur niishushe?
Ni nzuri sana chukua hiyooo📌📌Wakuu kuna series inaitwa Reacher vipi iko vizur niishushe?
Episodes nyingine zinatoka liniNi nzuri sana chukua hiyooo📌📌
Nina swali kidogo.Nimeona kuna taarifa imetolewa kuwa mwaka 2025 asilimia 50 ya watu watakuwa na matatizo ya macho
Kati ya hao 50% naliona kundi kubwa la waliopata matatizo ya macho kwa kuangalia low quality
Ni nzuri sana mie nimeimaliza juziNina swali kidogo.
Wanawezaje kutengeneza faida out of hii series inaitwa Berlin ikiwa episodes zote 8 ni kama zimetolewa mara moja?
NB. nimeimaliza episode ya nane na nimekubaliana kwamba series hiyo ni nzuri and most important thing to note ni kwamba love can ruin every thing. And sometimes if not all times, love cant be bought.
Wanapataje faida hapo?Ni nzuri sana mie nimeimaliza juzi
Watu wanavyo stream ndani ya Netflix kulee nahisi ndo faida Yao ipoo na wanapata sanaa faidaa maana Toka itoke ndo inashika trending series ndani ya Netflix Kila watazamaji wanapozidi na faida inaongezekaWanapataje faida hapo?
Unavyoanza kuangalia series si kuna Netflix ina display mwanzoni kabisa mwa picha?Wanapataje faida hapo?
Ndio imeishia happ ep8 mpaka season two? Au mwendelezo wake upojeWatu wanavyo stream ndani ya Netflix kulee nahisi ndo faida Yao ipoo na wanapata sanaa faidaa maana Toka itoke ndo inashika trending series ndani ya Netflix Kila watazamaji wanapozidi na faida inaongezeka
Asante kwa majibu. Nilidhan hapatakuwa na faida maana imetoka tu link zikawekwa hadi hapa jfUnavyoanza kuangalia series si kuna Netflix ina display mwanzoni kabisa mwa picha?
Sasa wale mpaka unawaona pale maana yake kwanza wamelipia haki miliki zote za hiyo Tv show
Yani gharama zote ikiwa pamoja na budget yao waliyotumia kutengeneza hiyo Series na bado wanaendelea kulipwa kupitia streaming
Kupitia matangazo ambapo thamani ya viewer 1 ni sawa na Dollar 1, sasa fikiria show ambayo imeangalia na watu milioni 10
Sources za kupata mkwanja zipo nyingi Mkuu hapo ni kwa uchache tu
Tusubirie taarifa ya Netflix je wataiendeleza ama laaaNdio imeishia happ ep8 mpaka season two? Au mwendelezo wake upoje
Kwa mfano saizi baada ya kutoa season 1 ambayo imepokelewa vizuri na audiences basi jambo hilo litawavutia sponsors kibao kufanya biashara na watengenezaji wa Show.Asante kwa majibu. Nilidhan hapatakuwa na faida maana imetoka tu link zikawekwa hadi hapa jf
Tuzungumzie hiyo game of throne sasa. Wewe umeicheki? Ina nini hasa mpaka watu wanaisifia? Maana kila ninapojaribu kuianza naishia episode kama ya tatu tu naitupilia mbaliKwa mfano saizi baada ya kutoa season 1 ambayo imepokelewa vizuri na audiences basi jambo hilo litawavutia sponsors kibao kufanya biashara na watengenezaji wa Show.
Game of thrones ilianza kwa budget ya dollar 6M ilipotoka na kukubalika na wadau budget ika rise up to 15M kwa episode
Berlin mpaka saizi ina rate ya 7.2 kule IMDB na ndio kwanza inafunga wiki tangu iachiwe.
Niliangalia episode 1 hata sikuimaliza yote ikanishindaTuzungumzie hiyo game of throne sasa. Wewe umeicheki? Ina nini hasa mpaka watu wanaisifia? Maana kila ninapojaribu kuianza naishia episode kama ya tatu tu naitupilia mbali
Itazame Tena🤣😁Tuzungumzie hiyo game of throne sasa. Wewe umeicheki? Ina nini hasa mpaka watu wanaisifia? Maana kila ninapojaribu kuianza naishia episode kama ya tatu tu naitupilia mbali
Tuliza kichwa anza Tena kuangalia band of brothers ep ya kwanza inakuonesha jinsi wanavyofanya mazoezi ep ya 2 ndo wanaenda vitani ni balaa sana watu wanapigana risasi hadi vichwa vinapasukaNiliangalia episode 1 hata sikuimaliza yote ikanishinda
Pale ndio nikajua kweli duniani watu tumetofatiana upeo
Sio hiyo tu kuna moja inaitwa Band of Brothers nilikuta IMBD iko rated nikajichanganya.
Nyingine nimeisahau jina ila inamhusu jamaa mmoja hivi mzembe mzembe ana bastola kiunoni halafu anasumbuliwa na wavuta ganja wenye mapikipiki. Nikai dump.
Nilipokuja humu nikashangaa kuona watu wanaisifia kuwa ni bonge moja la series nikabaki nacheka tu