Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,741
Kwenye game of thrones ndo wamezidi sio powa series ambayo haina upinde ni breaking badHata kwenye 24
Kwenye game of thrones ndo wamezidi sio powa series ambayo haina upinde ni breaking badHata kwenye 24
Mie kukiwa n upinde tu sifatiliiiMbona ilionesha dalili kitambo tu
Mie kukiwa n upinde tu sifatiliii
kwa sasa ni ngumu kuepuka labda usiangalie series....hizo ni projects za watuMie kukiwa n upinde tu sifatiliii
Snow fall hatari sanaSnow fall.
Worrior nun.
Be air.
Kweli da yaaaanikwa sasa ni ngumu kuepuka labda usiangalie series....hizo ni projects za watu
Kuna wakati nataman kurudia tena BREAKING BADBetter Call Saul
Breaking Bad
One of the best TV shows of all time.
RIP Hector!
Unazingua wew iyo elfu 6 nikienda kariakoo nanunua movie na season kibao tu movie singo nauziwa 400 season buku na wifi nawashiwa 😁😁 lKwa wanaohitaji Movie Na Sizoni mtandaoni nione inbox chap
🇼 🇮 🇰 🇮 🇲 🇴 🇯 🇦
🍿 6000Tsh/2.5USD/8000Fc KWA WIKI ZILIZOTAFSIRIWA+ZISIZOTAFSIRIWA
🍿 5000Tsh/2USD/6000Fc KWA WIKI ZILIZOTAFSIRIWA
🍿 1500Tsh/1USD/2500Fc KWA WIKI ZISIZOTAFSIRIWA
🇲 🇼 🇪 🇿 🇮 🇲 🇲 🇴 🇯 🇦
🎬 17000Tsh/8USD/21000Fc KWA MWEZI ZILIZOTAFSIRIWA+ZISIZOTAFSIRIWA
🎬 15000Tsh/7USD/18000Fc KWA MWEZI ZILIZOTAFSIRIWA
🎬 5000Tsh/3USD/7500Fc KWA MWEZI ZISIZOTAFSIRIWA
🇲 🇮 🇪 🇿 🇲 🇮 🇼 🇮 🇱 🇮
🎞️ 32000Tsh/15USD/40000Fc KWA MIEZI MIWILI ZILIZOTAFSIRIWA+ZISIZOTAFSIRIWA
🎞️ 28000Tsh/13USD/34000Fc KWA MIEZI MIWILI ZILIZOTAFSIRIWA
🎞️ 9000Tsh/5USD/14000Fc KWA MIEZI MIWILI ZISIZOTAFSIRIWA
🇲 🇮 🇪 🇿 🇲 🇮 🇹 🇦 🇹 🇺
📽️ 45000Tsh/21USD/55000Fc KWA MIEZI MITATU ZILIZOTAFSIRIWA+ZISIZOTAFSIRIWA
📽️ 39000Tsh/18USD/48000Fc KWA MIEZI MITATU ZILIZOTAFSIRIWA
📽️ 12000Tsh/6USD/18000Fc KWA MIEZI MITATU ZISIZOTAFSIRIWA
🇲 🇮 🇪 🇿 🇲 🇮 🇳 🇳 🇪♾️
🎦 13000Tsh/6USD/17000Fc KILA MWEZI UKILIPIA KUANZIA MIEZI MINNE NAKUENDELEA ZILIZOTAFSIRIWA+ZISIZOTAFSIRIWA
🎦 12000Tsh/6USD/15000Fc KILA MWEZI UKILIPIA KUANZIA MIEZI MINNE NAKUENDELEA ZILIZOTAFSIRIWA
🎦 3500Tsh/1.5USD/5000Fc KILA MWEZI UKILIPIA KUANZIA MIEZI MINNE NAKUENDELEA ZISIZOTAFSIRIWA
KAMA UMERIDHIKA NA GHARAMA ZETU NA UPO TAYARI KULIPIA ILI KUUNGANISHWA KIFURUSHI KIKUFAACHO,TAFADHALI NIJUZE NIKUPE NJIA ZA MALIPO.KARIBU SANA
ndugu hii ni huduma ya mtandaoni wewe uliochoona ni kuuziwa wakati wengine wanachoona ni kurahisishwa huduma sio kila mtu anaweza pata access ya movie ikiwa wewe unayo basi ushukuru tu ila tunawasaidia wengi kupitia huduma hiiUnazingua wew iyo elfu 6 nikienda kariakoo nanunua movie na season kibao tu movie singo nauziwa 400 season buku na wifi nawashiwa 😁😁 l
Hata kama mbona kuna wenzako wanayo huduma hiyo na wana price kwa 2500 yako ni kausha damundugu hii ni huduma ya mtandaoni wewe uliochoona ni kuuziwa wakati wengine wanachoona ni kurahisishwa huduma sio kila mtu anaweza pata access ya movie ikiwa wewe unayo basi ushukuru tu ila tunawasaidia wengi kupitia huduma hii
Sema imeisha kimagumashi😂Snow fall hatari sana
ndugu mimi siuzi mojamoja nakupa access yakujichotea sijui ukocopy yani ujuavyo kwa gharama ya 5000 kwa mwezi ndio rafiki sana anyway wamejiunga wanaoweza na watajiunga watakaoweza just kila mtu ako huru na maamuzi yakeHata kama mbona kuna wenzako wanayo huduma hiyo na wana price kwa 2500 yako ni kausha damu
Kati ya series zilizomalizwa vizuri basi moja wapo ni snowfallSema imeisha kimagumashi![]()
It's a good idea yes. But ilikua kinyume na expectations na mapenzi ya wengi.Kati ya series zilizomalizwa vizuri basi moja wapo ni snowfall
Poa poa mkuundugu mimi siuzi mojamoja nakupa access yakujichotea sijui ukocopy yani ujuavyo kwa gharama ya 5000 kwa mwezi ndio rafiki sana anyway wamejiunga wanaoweza na watajiunga watakaoweza just kila mtu ako huru na maamuzi yake
Haina ushoga?