Series (Special thread)

Series (Special thread)

Fuller House
Mom
Chuck
Upload
beef
Barry
God's Favorite Idiot
Red Oaks
The Good Place
Russian Doll
Utakuwa nerd ww wanakuwaga washkaji zangu sana ila kwa kuwa nko middle mind najifunza mengi kwao .mmoja yuko kwa rais rwanda anaumizwa na wanawake daily
 
download (1).jpeg

Kaka hii series ya Barry naicheki hapa ep 1 season 3 nipo nacheka tu hapa 🤣😁😁
 
Tuwe wakweli. Hii series mtunzi wake amejua kuchambua issue ya mapenzi in a deepest way. Huku una enjoy heist, wakati huo huo una pigwa na kitu kizito kwenye swala la mapenzi.
Imagine dogo alidatishwa na jasho la jamaa ikabidi akae na taulo chini ya mto.

Mzee wa watu akaunganisha dots akajua mkewe alikuwa anachepuka na kama hukumbuki haya maneno mawili
trivial love basi ulikuwa unaicheki hiyo series uliwa vyombo au na usingizi 😁

Halafu the boss mwenyewe hapo kwenye picha kayatumia mapenzi kufanikisha mission, kuharibu mahusiano ya mtu, na kumtia ndanizee wa auction
Scars
 
Naunga mkono hoja hii series kalii sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom