King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,980
- 4,942
Vip hiyo cidatelNdio kaka now tupo episode ya 6 ni full uchawi na mapanga
Vip hiyo cidatelNdio kaka now tupo episode ya 6 ni full uchawi na mapanga
Mchawi sana huyoNakubali sana mwanadada moreen aesadai.
Ipo full kaka nayo kalii sana sema aijafanya fresh sokoni sababu kipindi inatoka ilikuwa inapata ushindani sana kwa from na the last of usVip hiyo cidatel
Sawa kaka nakubali sana.Ipo full kaka nayo kalii sana sema aijafanya fresh sokoni sababu kipindi inatoka ilikuwa inapata ushindani sana kwa from na the last of us
Hapo tumvungie tu🤣😂Huyu anatafutaga mtu atukanane nae tu huyu sio mzima kabisa mshamba sana anaonekana sio mzima wa akili na inaonekana hata series na movie anazo tizama itakuwa za kutafsiriwa na ma dj wa karikoo
Unataka kunambia nikaanze nayo b4 echo3Mchawi sana huyo
Anza na echo3, uje na one pieceUnataka kunambia nikaanze nayo b4 echo3
Arusha 🤗Dada pande zipi izo dada
Ndio nimalizie The wheel of timeAnza na echo3, uje na one piece
Ngoja nimalize hizi nilizochukua leoIcheki dada kalii sana 🔥
Ila one piece ni pigo za kina Merlin🤣😂Ndio nimalizie The wheel of time
Nitumie kwenye bus 🤣🤣Ungekuwa karibu dada yangu ningekupa zote hizo ninazo
Iangalie ni nzuriVip hiyo cidatel
Kunae vimbola?Ila one piece ni pigo za kina Merlin🤣😂
From kalii sana sema inatisha sanaNgoja nimalize hizi nilizochukua leo
Vimo mfululuKunae vimbola?
Siogopi 😂😂🤭From kalii sana sema inatisha sana
Dah 😂Vimo mfululu
The wheel of timeDah 😂
Sa nianze na ipi? Kali yenye vimbola