Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Sema wajapan Hawa chelewi kuzingua, una ikumbuka Alice to the border land ilivyo kuwa 🤒Mimi nimeingalia na kuiludia tayari nimeiludia series kali tena inafaa hata kuangalia na familia , season 1 hawajaweka mambo ya ushoga tuombee season 2 waende hivyohivyoView attachment 2767233