Series (Special thread)

Series (Special thread)

Charles kilian
IMG_1885.jpeg
 
Huyu anatafutaga mtu atukanane nae tu huyu sio mzima kabisa mshamba sana anaonekana sio mzima wa akili na inaonekana hata series na movie anazo tizama itakuwa za kutafsiriwa na ma dj wa karikoo
Mimi sijaona kosa la mshikaji mpaka mfikie maneno kama haya kwakuwa kila mtu ana mapenzi yake na kila mmoja ana kitu ambacho kinamvutia hivyo atazame zilizotafsiriwa ni yeye cha msingi si amecheki maniadje

Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom