Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,744
Basi inakufaaSiogopi 😂😂🤭
Basi inakufaaSiogopi 😂😂🤭
Hii ya yule demu mwenye mimba au maana zipo nyingi zenye majina kama hii au ni spin off yake
Sawa kaka Chaz.The wheel of time
Sasa kinachotisha nini muleFrom kalii sana sema inatisha sana
Acha shoboSasa kinachotisha nini mule
Gum gum Gatling 🤣😂😂, cc Charles kilianKunae vimbola?
Lugha inayotumika? Ina dual audio?
Lugha gani imo humu? Mzigo unaonekana ni mzuriIfatilieni
View attachment 2767146
More love less ego🙏💪Guys ahsanteni sana kwa recommendations, sisi ni wale silent observers, tunapita na jina tunaenda kupakua,
Msiache tafadhali, your concerns has been much appreciated...!!🙏
Nime imaliza one piece, naingia Korea Sasa hivi.Nililala
Ndio namka hapa
Nataka kuwasha Tv mpaka saa 6
Spanish na englishLugha gani imo humu? Mzigo unaonekana ni mzuri
English ukimaanisha sauti au subtitle?Spanish na english
Ndio kakaEnglish ukimaanisha sauti au subtitle?



Zote kalii kakaNipige Chenrnobly na Foundation 2 alafu kituo kitakachofuata ni Ahsoka na Berlin Station![]()