Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,465
- 14,608
Wanaongea kireno ila tafuta kwenye website zingine unaweza kupata dual , mimi nilidownload netnaija kabla haijafungwaLugha inayotumika? Ina dual audio?
Wanaongea kireno ila tafuta kwenye website zingine unaweza kupata dual , mimi nilidownload netnaija kabla haijafungwaLugha inayotumika? Ina dual audio?
Dah net naija mkombozi kwenye hilo swalaWanaongea kireno ila tafuta kwenye website zingine unaweza kupata dual , mimi nilidownload netnaija kabla haijafungwa
Nenda pirate torrentDah net naija mkombozi kwenye hilo swala
Pirate sawa ila naija walikuwa wanatuwekea zenye sauti mbiliNenda pirate torrent
Wameumaliza mwendo wale kakaPirate sawa ila naija walikuwa wanatuwekea zenye sauti mbili
Hii inachekesha sana niliicheki mwezi wa 4 hiv nili enjoy sanawa comedy wenzangu mpo? nimetoka kuimaliza hii iko vizuri sana . leteni na nyingine za comedy tunasahaulika sana
View attachment 2768363
wa comedy wenzangu mpo? nimetoka kuimaliza hii iko vizuri sana . leteni na nyingine za comedy tunasahaulika sana
View attachment 2768363
wa comedy wenzangu mpo? nimetoka kuimaliza hii iko vizuri sana . leteni na nyingine za comedy tunasahaulika sana
View attachment 2768363
Nzuri sana yaani saana dada yanguNaEnjoy hapa na Echo3 🔥🔥🎥🍿
Hii huwa naipita tu ngoja niipakueView attachment 2768375
Angalia hii utacheka hadi ukome
Unakosea sana yaani hii ndo inafaa uangalie maana utacheka sana yaani sana🤣🤣😂😁😁Hii huwa naipita tu ngoja niipakue
Namuhurumia Amber 🙃Nzuri sana yaani saana dada yangu
WaitMwenye link ya BERLIN STATION S03 afanye ustaarabu link zote nilizonazo zimekufa.
Mwenye link ya BERLIN STATION S03 afanye ustaarabu link zote nilizonazo zimekufa.
Aisee 😭 polee dada yanguNamuhurumia Amber 🙃
Karibu kakaUhakika bro. Asante