Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,240
- 79,797
Kabisa sema kwenye upande wa story wamezingua kishenziHaina muendelezo tena kwanza ya pili yenyew haikufanya vizuri sokoni watu waliikosoa sana
Kabisa sema kwenye upande wa story wamezingua kishenziHaina muendelezo tena kwanza ya pili yenyew haikufanya vizuri sokoni watu waliikosoa sana
Ina season ngapi hiyo special operation.Special OPS hii ni documental inayongelea mission ngumu ambazo zimewai kufanywa kwenye hii dunia kuna hadi mission ya marekani kumpindua rais baada ya kuona hana manufaa kwao
Nasemea special ops lioness kuna yule dada na yule rafiki yake ambae baba yake ni gaidi walikuwa wanasagana sanaUnaisemea hipi hii ni mpya na sijaona ushoga humu ni wanaume wa kazi wanaenda kupiga mission ngumu
Ipo moja tu ya mwaka huuIna season ngapi hiyo special operation.
Duh kumbe kuna mambo ya LGBTQ🌈Nasemea special ops lioness kuna yule dada na yule rafiki yake ambae baba yake ni gaidi walikuwa wanasagana sana
Shukrani kaka. Kesho nitaanza kuishushaItafute na season 2 kalii sana ni bonge moja la thriller
Hii ndo naongelea mimi inaitwa SPY OPSNasemea special ops lioness kuna yule dada na yule rafiki yake ambae baba yake ni gaidi walikuwa wanasagana sana
Ni ya mwaka huu auIna season ngapi hiyo special operation.
Ahaa hii kalii sana 🔥 nayo hii kazi kazi nilizani unasemea ile ya cruz na wenzieHii ndo naongelea mimi inaitwa SPY OPSView attachment 2758728
Wanasema ya mwaka huuNi ya mwaka huu au
Kabisa kakaUcjali kaka huwez kuacha film nzuri kisa upumbavu uliomo ndani.
Indi hata kukimbia hawezi sasaView attachment 2746181
Wazee wa singo ya kwenu hii

,apumzike sasa ,mchango wake unatosha sana ,respect kwake indiana
Kabisa kachoka skuizIndi hata kukimbia hawezi sasa,apumzike sasa ,mchango wake unatosha sana ,respect kwake indiana
Kama unapenda action , comedy hiyo itakufaaNaomba mtu aongee chochote juu ya hii series, Kwa upande wa season 1, inafaa?View attachment 2758815
Series ipi hiuNilivyo sio mzuri wa kuelezea sasa
Yaan ni Mazombie lakini Mazombie yao sio Virus ni Fungas, kwa hiyo mji wote unapata hilo janga, waliopona waliwekwa sehemu ili wasiambukizwe,
Sasa kuna binti anaitwa Ellie yeye damu yake inasadikika ni cure wa hiyo fungas maana aling'atwa hakubadilika kwa hiyo jamaa anaitwa Joel anapewa kazi ya kumpeleka kwenye military hospital ili binti achukuliwe sample, hadi kufika hapo sio route ndogo ni purukushani nyingi wanazipitia hatimae wanafika na kugundua kumbe binti anatakiwa afe, yule mzee anakataa kukubali hiyo kitu anamtorosha na kuua wanajeshi wote..... Tunasubiri ssn 2 tujue hatma yao.
The Last of UsSeries ipi hiu
Mnooooookali sana
season 2 inasubiriwa kwa hamu
Weka linkSpecial OPS hii ni documental inayongelea mission ngumu ambazo zimewai kufanywa kwenye hii dunia kuna hadi mission ya marekani kumpindua rais baada ya kuona hana manufaa kwao