Kaka nmeshindwa nisaidie linkAchana na app tumia website ukishindwa sema upewe link kaka
Kaka nmeshindwa nisaidie linkAchana na app tumia website ukishindwa sema upewe link kaka
Ya season gani semaKaka nmeshindwa nisaidie link
Nisaidie hizo links mkuu.Achana na app tumia website ukishindwa sema upewe link kaka
Deep stateHaya Wakuu kuna sreries gani mpya inayo sumbua mjini niingie porini
Inahusu nini?Deep state
Haya Wakuu kuna sreries gani mpya inayo sumbua mjini niingie porini
Yeah kalii sana Apple TV ndo walisimamia hiyo seriesGuys kuna hii series inaitwa Foundation ina 2 seasons.... ni nzuri??
Nimeona ipo kama SILO au THE 100
View attachment 2758332
Kaka maswali yako yananichekeshaga sana😅😂😁😁Inahusu nini?
Kaka ebu nishushie hapa majina ya series kali sana zinazohusu upelelezi wa mashirika ya kijasusi, huwa napenda sana hizi issues.Kaka maswali yako yananichekeshaga sana😅😂😁😁
Huyu mbona kama Childish Gambino?
Sasa lazima tujue category kwanzaKaka maswali yako yananichekeshaga sana😅😂😁😁
HomelandKaka ebu nishushie hapa majina ya series kali sana zinazohusu upelelezi wa mashirika ya kijasusi, huwa napenda sana hizi issues.
Sio yeye kakaHuyu mbona kama Childish Gambino?
😂😁😁Sasa lazima tujue category kwanza
Mi lavu stori siangaliagi
Homeland tayari, ila hizi nyingine bado, shukrani sana ngoja nizitafute.Homeland
The americans
Personal of interest
The spy
Berlin Station
Agent hamilton
Angalia hizo zingine kalii sana hizo kakaHomeland tayari, ila hizi nyingine bado, shukrani sana ngoja nizitafute.
Kaka ushaicheki night agent.Angalia hizo zingine kalii sana hizo kaka