Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,248
- 79,829
Kalii sana hii
Kalii sana hii
Nahisi wata leta season 2Kalii sana hii
Kabisa maana tamu sanaNahisi wata leta season 2
Nili icheki kwa siku 2 tu mzee, sema Jamaa lazima walete- maana ni Kama safari haija IshaKabisa maana tamu sana
Inahusu niny kaka!Kalii sana hii
Operation za hatari za jeshi la marekani yaani humu sio poa kalii sanaInahusu niny kaka!
Nishamalizana na special opps lioness ngoja niendelee na mizigo mingine.Operation za hatari za jeshi la marekani yaani humu sio poa kalii sana
Poapoa kaka nayo nitaisakua ngoja niiweke kwenye lists.Operation za hatari za jeshi la marekani yaani humu sio poa kalii sana
Hii kalii sana wameupiga mwingiWakuu hiki chuma cha moto Sana naimalizia hapa 🔥🔥
View attachment 2764042
Noted Sir.Moving na agent hamilton kupata dubbed ni ngumu mno zipo zenye subtitles tu za dubbed paka ununue
Bila lugha nyingine daah . Inachosha sana yanMoving na agent hamilton kupata dubbed ni ngumu mno zipo zenye subtitles tu za dubbed paka ununue
Kabisa kaka sema ishi nazo zenye subtitle tu link nimekuwekea hapo juuBila lugha nyingine daah . Inachosha sana yan
Mimi niliimaliza kitambo sana hiki chuma kimetulia , wanaume wanapiga kazi kwelikweli
Hii kali season 1 tuuh season 2 walifanya kuilazimisha yaani matukio yakiboya kabisa
Chuma cha moto Sana mkuu story imetulia pia ingawa season 2 polisi wachovu kichiziHii kali season 1 tuuh season 2 walifanya kuilazimisha yaani matukio yakiboya kabisa
Season 1 naipa 8/10
Season 2 naipa 3/10
Sana sanaHii kalii sana wameupiga mwingi
Naipitaga Sana hio kwenye nkiri+lookmovieKazi ya kwenda hii fujo bin fujo
View attachment 2764273
Uwezi amini ndo naanza kuangalia episode ya kwanza hapaKazi ya kwenda hii fujo bin fujo
View attachment 2764273