Ndiyo maana tunataka Katiba Mpya.Hivi Rais Samia anaanzaje kuanza kuwakamata waliomshambulia Lissu mwaka 2017 kwa namna anavyomtukana majukwaani.
Hili jitu kweli lilishambuliwa na watu wa Magufuli lakini halina shukrani. Wachana nalo
Nikukumbushe kuwa Kuna clip ya video ilitembea Sana humu wakati wa kampeni za urais wa mwaka 2000 ikimuonyesha huyo mama akijinasibu kuwa, waliomshambuliq Lissu siyo askari kwani wangekuwa wao wasingetumia risasi zaidi ya tatu! Hili nalo unalisemeaje? Kwamba alikuwa anamaanisha Nini Kama siyo kushangilia uhalifu ule?Hivi Rais Samia anaanzaje kuanza kuwakamata waliomshambulia Lissu mwaka 2017 kwa namna anavyomtukana majukwaani.
Hili jitu kweli lilishambuliwa na watu wa Magufuli lakini halina shukrani. Wachana nalo
Hapo chacha.si tunaambiwa serikali ina mkono mrefu !
Unataka tuandike uongo ili iweje ?Mauaji dhidi yake kwan alikufa?mode tusaidie kurekebisha.
Unataka tuandike uongo ili iweje ?
TEC wanakunyima usingizi?Vipi tec washaliongelea hili?
Vipi tec washaliongelea hili?
Mkuu uliwawahi....uko mbele ya mudaWawakamate? Thubutu labda uingie mfumo mpya kbs wa utawala!! NB: Nakuhakikishia fuatilia comments hapa utawagundua wahusika kwa namna moja ama nyingine 👇👇👇
Lissu akitaka wahusika wakamatwe hata kesho itamlazimu ahamie CCM ili wahusika wakamatwe ka kusudio la kumshambulia kada wa CCM.View attachment 2742023
Akizungumza mbele ya maelfu ya wananchi kwenye mkutano Mkubwa wa hadhara , Makamu Mwenyekiti wa Chadema , amesema kwamba , Tangu aliposhambuliwa kwa Risasi hakuna yeyote aliyekamatwa wala hakuna uchunguzi uliofanyika hadi sasa .
Amedai kwamba hapo awali , alidhani haukufanyika uchunguzi kwa vile aliyewatuma wauaji wakati huo alikuwa Rais , kwahiyo ingekuwa vigumu kujikamata na kwamba IGP wa wakati huo alikuwa Sirro , lakini sasa Rais ni Samia na IGP ni Wambura .
Tundu Lissu ameendelea kuhoji kwamba , Sasa kama viongozi wale wa zamani wamebadilika na wale wabaya wameondoka , hawa wema akiwemo tunayesema NANI KAMA MAMA , Mbona wahalifu hawa hawakamatwi ?
Ujumbe wake huu hapa
View attachment 2742019
Ni mtu mwenye akili za kipunguani tuu anayeweza kuandika hivi.Hivi Rais Samia anaanzaje kuanza kuwakamata waliomshambulia Lissu mwaka 2017 kwa namna anavyomtukana majukwaani.
Hili jitu kweli lilishambuliwa na watu wa Magufuli lakini halina shukrani. Wachana nalo
Kweli kabisa, Lissu ajue kesi hii bado iko live na kuna siku watu watasimama kizimbani hata wakiwa wazee.Vitu vingine Lissu anatakiwa asamehe amuachie Mungu mwenyewe aliyemnusuru na kifo ashughurike mwenyewe.
Kama maagizo ya kuuawa kwake yalitolewa na Rais wawakati ule na wakati ule Rais wa sasa alikuwa msaidizi wake anategemea kuwa kikombe hiki yeye hakuhusika kama msaidizi wa Rais wawakati ule na anaweza akajikamata mwenyewe?.
Kuita nyeupe ni nyeupe ni tusi!!?Hivi Rais Samia anaanzaje kuanza kuwakamata waliomshambulia Lissu mwaka 2017 kwa namna anavyomtukana majukwaani.
Hili jitu kweli lilishambuliwa na watu wa Magufuli lakini halina shukrani. Wachana nalo
Asipowajibika sasa huyo mama yenu kwa vile mnamshauri eti Lissu anamsema majukwaani (kama Rais) mnampoteza. Asipolishughulikia hili katika wakati wake huu ni balaa lake maana anajiweka katika nafasi ya kuhusishwa na ushiriki wa jaribio la mauaji.Mkiambiwa jamaa aliugua wazimu wa maleria mnakula chunvi,na ukiuguwa wazimu huponi ila unakaa sawa tu,ila viluwiluwi vya wazimu unakuwa navyo.
sasa basi.
Unamdharau mtu kisha unamtaka awakamate wenzako waliokuchapa risasi.
Ngojea mpaka akili zigeuke jiwe ila sasa ni matope.
Uko sahihi kabisaKuita nyeupe ni nyeupe ni tusi!!?
Hivi nikikwambia wewe kuwa unatumia kichwa kwa ajili ya kufugia nywele nitakuwa nimekutukana au nimesema uongo!!??
Unajua maana na umuhimu wa kuwa na sheria na kuchukuliwa hatua kwa watenda uhalifu!!??Kwa hiyo kila siku maneno ni hayo hayo hana mada zingine? Yeye ndie wa kwanza kuumizwa katika nchi hii? Wapi Ulimboka?
Hapa sio stahili yako, ungetafuta panapokufaa maana una onyesha akili yako iko juu sana.Tutawakamata kwa kushindwa kukumaliza mbwa wewe, wametutia hasara ya risasi tu. Shoga kiguru