Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

Unafikiri kila mtu atamsifia Diamond? Kama amezomewa basi hiyo ni challenge na ajiulize kwanini kazomewa sio kuanza kulalamika tu,mbona kwenye mpira wachezaji wanazomewa sana tu.Si kwa sababu kafanikiwa ndio maana watu wanamzomea lah ila kwa sababu kuna vitu afanyavyo vinawakera mashabiki.

watu wana lazimisha kuwaza wanavyo waza wao, muhimu ajirekebishe
 
namheshimu sana diamond kwa kutupeleka next level
namdharau pia kwa kauli zake na anapenda sana magazeti misifa haya
waliompandisha ndio wanaomshusha

Kauli wewe ulishawahi kumsikia au unasoma GP ?? anyway wewe Binafsi umeshatoa kauli ngapi za utata hata kwa waliokulea Bwana we! Hayo magazeti Diamond anaomba aandikwe ?? si wao na Akili zao ndogo kutwa kutaka kujua Diamond anamtafuna nani ?? Ndio Maana jana wamemtia Rais aibu hakuna hata Mmoja aliyeibuna CNN , Msimkatishe Tanaa Diamond kama mlivyofanya kwa Kanumba , Amina Chifupa , kutwa kuwasakama , Muache Unafiki wenu wa Kumsifia Mtu akifa !
 
Kwahiyo Diamond kawazidi kipato kina Bakhressa, Mo dewji, Rostam, Mufuruki, Mzee Machache baba wawili na Karamagi?

Huo Mfano wala haviendani , Walau ungewasema kina Profesa, FA na JD ....Muziki Muziki , Siasa Siasa , Wafanya Biashara Wafanyabiashara ebo!
 
Kauli wewe ulishawahi kumsikia au unasoma GP ?? anyway wewe Binafsi umeshatoa kauli ngapi za utata hata kwa waliokulea Bwana we! Hayo magazeti Diamond anaomba aandikwe ?? si wao na Akili zao ndogo kutwa kutaka kujua Diamond anamtafuna nani ?? Ndio Maana jana wamemtia Rais aibu hakuna hata Mmoja aliyeibuna CNN , Msimkatishe Tanaa Diamond kama mlivyofanya kwa Kanumba , Amina Chifupa , kutwa kuwasakama , Muache Unafiki wenu wa Kumsifia Mtu akifa !

mbeya hamna hoteli yenye hadhi yake
tatizo lako we unaangalia zaidi bongo mi mwenzio niko kimataifa zaidi(nimeiona ig page yake mimi mwenyewe)
aly akitaka colabo nipo tayari kumsaidia
we unafkri kauli hizo nzuri kwa msanii mwenzio
nyie@teamdaimond si mgeenda kumshabikia sasa
na hao global ndo wanampandisha km hujui maana maana kutwa kujipeleka waaindikwe
 
Ndugu sina Uteam wanamuziki wote wa Tanzania nawakubali , Kiba namkubali kuliko unavyofikiria ila siwezi kukaa kimya eti nitaonekana Team , Team maana yake nini , am too old for this nonsense !
 
Hebu nipe yaliyojiri huko maana nasikia kuna mtu kazomewa? nifah

Leo nina raha siwezi hata kuliongelea hili suala,please mumy soma tu comments za watu utaujua ukweli...nitakuhadithia nikishakaa sawa
 
Last edited by a moderator:
Asingeenda kabisa leaders ndio tungesema kawakomoa,ila kaenda na kaimba nyimbo tatu bado unasema kawakomoa? Nadhani utakuwa unatania.
Kila msanii kaimba nyimbo tatu na kushuka.

"Nlikuwepo":bolt:

Diamond amewahi sema kwenye moja ya interview zake nafikiri ilikuwa mkasi kuwa yeye ili apige show hapa Tz lazima apewe si chini ya 10M, hivyo basi jana clouds ndo wamesalim amri. Alishawakomoa, mkoani sidhani kama kapiga show yoyote ya fiesta mwaka huu. Tutake tusitake, diamond kidume.
 
Back
Top Bottom