Serengeti fiesta 2014 special thread

Uk na ujerumani ilikuwa ni mapromota wanamzingua, ila mwisho wa siku yeye kama msanii ndo alionekana mbaya. Ila kiukweli ni mapromota ndo waliharibu, washabiki hawaoni hilo.

kwani mashabiki wanalipia hela kumuona promota akiimba ama domondi?
 
Kuna haja ya kuchagua wanamuziki wa kuja. Huyu hafai,alikuwa too much matusi na hata akiongea kawaida hasomeki. Nadhani alipiga ganja au unga kabla ya show. Matusi mengi sana. Ila pia kuna mbongo mmoja alitukana 'kumamazao' live.

Mkuu hivyo ndivyo T.I anaongeaga siku zote mara zote.. After all katika waamerica wote walioperform hapa bongo I rate T.I as number 1. Kapiga show nzuri na raia mwanzo mwisho walionekana wakipiga kelele
 
wadau naomba niulize eti Jay Z amewah kufanya showa Tanzania?iilikuwa mwaka gani?

yeah nigga jay amewahi kupaform bongo octoba 2006 siikumbuki tarehe alikuja na beyonce but b' alisindikiza bwana yake aliletwa na primetime promotions
 
Kwangu mimi kuzomewa na mashabiki siyo ishu as long as it's not manipulated by someone anatakiwa adadisi kwanini kazomewa then ajirekebishe maisha yaendelee . BUT kama kazomewa kumeratibiwa na msanii mwenzake then ni dalili mbaya sana kwa ustawi wa tasnia hiyo na wasanii (copying & paste will continue to others)
 
Niko mbali ndugu yangu, ndio maana nilikuwa natafuta online show kama walivyosema, kumbe miyeyusho mitupu.

Pole sana lakini shukuru hukuipata manake na wewe si shabiki wa ndomo???kila siku kumponda Kiba sasa jana amemkalisha huyo domo wenu vibaya sana
 
Pole sana lakini shukuru hukuipata manake na wewe si shabiki wa ndomo???kila siku kumponda Kiba sasa jana amemkalisha huyo domo wenu vibaya sana

​Hivi wewe upatagi usingizi? Tangu last week, nikifungua JF upo ndani, duh! Huyo jamaa kazi anayo.
 
​Hivi wewe upatagi usingizi? Tangu last week, nikifungua JF upo ndani, duh! Huyo jamaa kazi anayo.

Hahahaaaaa,una bahati ya kunikuta online
Ona sasa umeshapanick hii mada inahusiana vipi?hapo hujaona ni story tu,ungeona je???saa hizi umeshapigwa ban
 
Pole sana lakini shukuru hukuipata manake na wewe si shabiki wa ndomo???kila siku kumponda Kiba sasa jana amemkalisha huyo domo wenu vibaya sana

Sugu kipindi hiyo years way back wakina Ruge walikuwa wanamuharibia kazi, wakawa wanalazimisha Dudu Baya ni kiboko zaidi ya yeye. Na ikawa wanalazimisha wapenzi wa muziki wa kibongo wakubali hiyo kitu, kwa hiyo Dudu Baya akapewa bonge la promo kimtindo, lakini Sugu akesema mtu anayepiga hela nyingi ndio kichwa. Kaka Sugu akaimba nyimbo moja inaitwa Mwana muziki. Sikiliza hiyo nyombo ndio utaelewa.
 
Ati wasema nini???nyombo ndio kitu gani???au ni msamiati mpya nini?
 
Ati wasema nini???nyombo ndio kitu gani???au ni msamiati mpya nini?

Dada acha taarabu, Bongo yako yenyewe sijakanyaga ngoma kama tatu flani hivi. Saa hizi niko na bata la kuaa mtu hapa. Pole sana kama unafikiri Diamond na Kiba ndo deal.
 
Ali kiba ana kabahati ila naye aache kuvaa skuna sijui moka zile. ..atoke kistaa mambo ya kuvaa kama mwalimu mpya wa shule ya msingi jukwaani siyo mpango. ...diamond achukulie poa kuzomewa kwani wahudhuriaji wa fiesta tunawajua watu wa design gani,ndo maana daladala huwaga nyingi leaders,tunakumbuka mlimani city balaa ulilolifanya

Namuhurumia mama yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom