Serengeti fiesta 2014 special thread

jamani mwacheni Daimond afanye yake na kiba afanye yake.mbona mnataka mmoja wapo ashuke.mie am happy kuona Daimond na kiba wote wapo juu.ntasikitika mmoja wapo akishuka.
 
Diamond anakaribia kujiunga na vinega baada ya kugundua zomea ya jana ilipangwa na clouds baada ya kuwagomea fiesta za mikoani.
 
Binti wewe noma! Unajua naanza kuku kubali jinsi unavyoona hela kudadeki. Aisee hope you break through maana nia unayo sana!! Kelele zote hizi humu ndani wewe ukaona cha muhimu kuliko vyote humu ni wapi.. safi sana.

hahaha ahsante sana lol me naangalia fursa tu
 

kaka umeua kabisaaa..yanayosikika ni mambo yake binafsi kuliko yale yanayotuunganisha nae yaani muziki.kila siku skendo magazetini.
 

Huu uhuni wa Kikwete kuingilia mambo ya kibiashara ya makampuni binafsi kwa sababu Kuna washkaji zake ndio yanasababisha watu wachukie utawala wake. This is pure business, subjectivity haikuwa na nafasi kabisa. Jamaa wanafanya huu uhuni kwa sababu za ushikaji na JK, siku JK anatoka Ikulu November 2015 hii redio itafungwa kabisa na kuchinjiwa baharini. Wameshindwa kupambana na himaya ya Mengi wanaonea wachanga, not fair bana hii radio ya wafu imewatenda wengi Sana. Tena saizi wanashirikiana na Shigongo kutaka hata kuvunja ndoa..
 

Hahahahahah...leo nna furaha sana nashindwa hata kuandika...aisee
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…