Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

TI nahis kaishangaa Bongo aiseee airpot ilivyo, hotel, akija kuona watu walivyobanana sasa lazima akasimulie kina Chriss Brown na Lil wayne
 
Shoo imekuja kuboa mwishoni T.I akiimbanyimbo 2 tu niko mlangoni naondoka.Hii nyomi unaweza fika kwako asubuhi.
 
Lakini tuwe wakweli,hawa klauz maccm kuna kamchezo wamemchezea hapa diamond,i smell something..diamont atakuwa kawagomea kutumika kama akina FA

Njia pekee ya kumsaidia diamond kwa lililotokea ni kumwambia tabia chafu ya dharau alonayo, na kumuonya aache mara moja na sio kusingizia watu wengine. Waliomzomea ni watu waliotoka kwao, wakalipa kiingilio, wamesimama muda mrefu, huo mchezo wa clouds unatoka wapi?
 
Clouds wamejifanya kumuua Diamond wameua shoo nzima watu wamechoka mazima hata Davido anaboa show inamalizika kifala sana sidhani kama Davido atarudi tena Bongo.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kivipi acha kuwasingizia clouds mbona wamejitahid au kwa vile domo mashabiki wameuchuna ndo msingizie clouds
 
Mbona hawaitikiiii hhhhhaaa MMarekani kaingiaaaaaaa weeeeeweeeeeeee
 
Back
Top Bottom