Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
Ally kiba ndo aende kulia maana ataishia kushangiliwa na wahuni Fiesta..mwenzake baada ya hapa ana tour za kutosha
Ndio maana hana waswasiiiii
Hao waliopanda wadada ni kina naniii
Ally kiba ndo aende kulia maana ataishia kushangiliwa na wahuni Fiesta..mwenzake baada ya hapa ana tour za kutosha
Well come back Kiba game ya kwako sasa hivi domo atabaki kwenye vitabu kama mr nice
Mimi siwez kwenda kusimama usiku mzima naangalia wasanii bora nimpe raha mme wangu tu
I wonder why you are still awake..!!
T.I kakimbia Ebola nini?Saa 9 hii
Mimi siwez kwenda kusimama usiku mzima naangalia wasanii bora nimpe raha mme wangu tu
Naona victoria kimani na waje wanajipendekeza kuwa dancers wa Davido, wanafkiri watapata collabo hahaha
Naangalia ujinga wa Clouds
Kiba kamwe hatakaa aje arudi .....tayari alishafika kwenye climax na hawezi kurudi tena labda msanii mwengine atakuja kuchukua nafasi ya Diamond
Ni kweli ya taka moyo
Ally kiba ndo aende kulia maana ataishia kushangiliwa na wahuni Fiesta..mwenzake baada ya hapa ana tour za kutosha
Pia nimeona Kiba kapigiwa advert ya kufa mtu, kuna clip wameonyesha clouds ikionyesha Kiba anavalishwa kufia ya ufalme na maandishi The returning of the King.
Acheni wivu mtoto wa mbagala kasota kauza mitaani hadi bichi akitembea chini ya jua leo mnamwita ana dharau....
acheni wivuuuuuuuuuuuuuuuuu kafika alipo kwa yeye na sio wewe
kwani hujamuona bwana almasi na yeye akijicock kikomando mpaka na bastola,Iyo nafasi almasi alikuwa amekodishiwa tu na king wao ndo Iyo karudi prince lazima achuje tuPia nimeona Kiba kapigiwa advert ya kufa mtu, kuna clip wameonyesha clouds ikionyesha Kiba anavalishwa kufia ya ufalme na maandishi The returning of the King.
Kuna kaukweli hivi lilianzia wapi
Hhhhaaaaa, hivi Diva wa clouds hajamuona TI amgande aanze kututangazia na ndoaaaa