mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,951
- 131,272
Ugali kwetu 'mwiko'
Ugali kwetu 'mwiko'
Mahalat ndio mlivyooooUgali kwetu 'mwiko'
. Wewe?Mahalat ndio mlivyoooo
Na tunda hili hapa babuAsante mjukuu
View attachment 2089802
Mwambie ukweli babu yako kuwa tuko wote Forodhani, najua anafikiri msg zake sizioni zikiingia kwenye simu yako!Leo upo forodhani,nakuona wala urooojo
Dude...is that for me???😜
Ambia babu yako nimekuonesha masheli sheli, sio ugali huo!!
wakishuaUgali kwetu 'mwiko'
Who else is it for?Dude...is that for me???😜
Hayo masheli sheli mwenzio siyawezi yakhee!Ambia babu yako nimekuonesha masheli sheli, sio ugali huo!!
Vipi Forodhani umepaonaje!?
Asee,basi wa unguja wote ni wakishua.wakishua
Mwambie ukweli babu yako kuwa tuko wote Forodhani, najua anafikiri msg zake sizioni zikiingia kwenye simu yako!
Utayaweza tu mwaka huu, matamu sana, mimi huwa napenda mama yangu akiyapika ya nazi!Hayo masheli sheli mwenzio siyawezi yakhee!