MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 29,652
- 150,181
Eti[emoji23]. Mie nipo hapa nampikia babu yangu ugali[emoji39]Utawahi? Mjukuu wangu yupo home tena ndo katoka job mida hii. Wewe kula bata tu huko visiwani lakini mjukuu wangu humpati ng'o!
Eti Mjukuu unasemaje?