Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,861
- 147,217
Ugali kwetu 'mwiko'[emoji41]
Ugali kwetu 'mwiko'[emoji41]
Mahalat ndio mlivyooooUgali kwetu 'mwiko'[emoji41]
[emoji23]. Wewe?Mahalat ndio mlivyoooo
Asante mjukuu [emoji1545]Eti[emoji23]. Mie nipo hapa nampikia babu yangu ugali[emoji39]
Na tunda hili hapa babu[emoji41]Asante mjukuu [emoji1545]
View attachment 2089802
Mwambie ukweli babu yako kuwa tuko wote Forodhani, najua anafikiri msg zake sizioni zikiingia kwenye simu yako![emoji2365][emoji2365][emoji2365]Leo upo forodhani,nakuona wala urooojo[emoji39]
Dude...is that for me???😜
Ambia babu yako nimekuonesha masheli sheli, sio ugali huo!!
wakishuaUgali kwetu 'mwiko'[emoji41]
Who else is it for?Dude...is that for me???😜
Hayo masheli sheli mwenzio siyawezi yakhee!Ambia babu yako nimekuonesha masheli sheli, sio ugali huo!!
Vipi Forodhani umepaonaje!?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Asee,basi wa unguja wote ni wakishua.wakishua
[emoji2440][emoji2440][emoji2440][emoji2440][emoji2440]Mwambie ukweli babu yako kuwa tuko wote Forodhani, najua anafikiri msg zake sizioni zikiingia kwenye simu yako![emoji2365][emoji2365][emoji2365]
Utayaweza tu mwaka huu, matamu sana, mimi huwa napenda mama yangu akiyapika ya nazi! [emoji39][emoji39][emoji39]Hayo masheli sheli mwenzio siyawezi yakhee!