Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,172
- 182,962
Ipi hio??? Hebu nikumbushe!Basi tupia ile ya jana, imenibamba kinoma!!
Ipi hio??? Hebu nikumbushe!Basi tupia ile ya jana, imenibamba kinoma!!
Ipi hio??? Hebu nikumbushe!
Hahaha...si tayari unayo!!View attachment 2089982
Hii ndio ilikuwa background yake, bado wewe kukaa hapo mbele!!
[emoji39][emoji39][emoji39]
Ngoja nikuangalizie nyingine yenye hio background!View attachment 2089982
Hii ndio ilikuwa background yake, bado wewe kukaa hapo mbele!!
[emoji39][emoji39][emoji39]
Uliifuta haraka sana kama uliwekwa mafuta! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Hahaha...si tayari unayo!!
Hahaa.. unaipenda hio background eehh??Uliifuta haraka sana kama uliwekwa mafuta! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Mvua inaupiga mwingiMvua Mvua Mvua Mvua!
Hii mvua ni nzuri KWA...malizia!
[emoji2365][emoji2365][emoji2365]
Mimi huna haja ya kuniambia kuwa kuna kitu hakiko sawa. Ukiwa na kitu kinakukera nitajua tu...na tutakitatua kwa pamoja. Ndiyo maana ya urafiki Boss Lady [emoji16][emoji1545]Kwamba no bashasha kabisa nowdays!!!![emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji134][emoji134]!! Hata mimi nimeliona hili.
Nimeshapona kamanda. Asante sana aisee. Nawe umepotea sana hapa. Natumaini kila kitu kiko salama. Mungu ni mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mkuu ulipatwa na masahibu pole sana nimeiona late natumai kwa sasa upo poa, hakika pole yangu haijachelewa.. Uwe na afya njema daima
Background na mwenye picha yake kwenye picha yake!!Hahaa.. unanipenda hio background eehh??
Ukizubaa tu baby shower Oktoba [emoji16][emoji16][emoji16]Mvua Mvua Mvua Mvua!
Hii mvua ni nzuri KWA...malizia!
[emoji2365][emoji2365][emoji2365]
Nashukuru kwa kunifahamu rafiki. Uzuri ushanotice kumbe [emoji120]!Mimi huna haja ya kuniambia kuwa kuna kitu hakiko sawa. Ukiwa na kitu kinakukera nitajua tu...na tutakitatua kwa pamoja. Ndiyo maana ya urafiki Boss Lady [emoji16][emoji1545]
Sema ni nzuri kwa ku.....Mvua inaupiga mwingi
Nyanj upo mzee?Imenipeperushia ndege wangu hapa Kitambaa Cheupe!!!
Ndio baraka zenyewe hizo etiUkizubaa tu baby shower Oktoba [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2089984
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Ukizubaa tu baby shower Oktoba [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2089984
Kulala usingiziSema ni nzuri kwa ku.....
Kwenu ya wapi?Lini twende kwetu ukapikiwe ya nazi na nyama, then nikusikie kama utayaongelea tena!!
mtu chake ushaingia lindo??
dah nitamiss vitu vingi sanaHahaaa..hata sina picha mpya leo afu nimepumzika kuselfika kwa muda.[emoji849][emoji854]