Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,858
- 136,485
Naonaga wenyewe mnavyoyapenda hayo ya naziUtayaweza tu mwaka huu, matamu sana, mimi huwa napenda mama yangu akiyapika ya nazi!
Cc: Angel Nylon
Mie hapana
Naonaga wenyewe mnavyoyapenda hayo ya naziUtayaweza tu mwaka huu, matamu sana, mimi huwa napenda mama yangu akiyapika ya nazi!
Cc: Angel Nylon
Kumbe daddy still remembers his duty ehhh???☺😁Who else is it for?
Come on now…..daddy will spank if you act up 😉.
Kuja….
23:43
Of course!Kumbe daddy still remembers his duty ehhh???☺😁
I'll be right over 😉
Mchoyo wewe eh?Late dinner 🥴
View attachment 2089962
Mkuu ulipatwa na masahibu pole sana nimeiona late natumai kwa sasa upo poa, hakika pole yangu haijachelewa.. Uwe na afya njema daima
Naona ametingwa..
Hii mixa sio mchezo!!
Hatari sana hii mvua!
Hapo utasikia wanaimba naloli naloli kwa wingi wiki nzima!















Kabla hujapotea usisahau kutufanyia usiku wa member wa huu uzi uwe mwanana kwa kutupia moja nzuri!Naona ametingwa..
Hahaaa..hata sina picha mpya leo afu nimepumzika kuselfika kwa muda.Kabla hujapotea usisahau kutufanyia usiku wa member wa huu uzi uwe mwanana kwa kutupia moja nzuri!


Lini twende kwetu ukapikiwe ya nazi na nyama, then nikusikie kama utayaongelea tena!!Naonaga wenyewe mnavyoyapenda hayo ya nazi
Mie hapana
Basi tupia ile ya jana, imenibamba kinoma!!Hahaaa..hata sina picha mpya leo afu nimepumzika kuselfika kwa muda.![]()
Kwamba no bashasha kabisa nowdays!!!!





!! Hata mimi nimeliona hili.