Zawadi ni zawadi, jiandae kupokea
Vichocheo gani
Yanasaidia kuhuisha vichocheo. Sasa Karma yeye anakula maparachichi, yanasaidia ubongo but vichocheo havishtuki
AmenMlale unono...Mungu awalinde na kuwapigania hata asubuhi..nawapenda sana
Hapa kutatoka kitu heavy sana 💪🏼😜
Naja na yangu 😂Karibuni tukule maparachichiView attachment 1760816
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ndyo, we npe location ntimbe kesho maeneo hayo😀😀😀Hahaha na wewe unataka maparachichi?