Zawadi ni zawadi, jiandae kupokea![]()





Vichocheo gani
Yanasaidia kuhuisha vichocheo. Sasa Karma yeye anakula maparachichi, yanasaidia ubongo but vichocheo havishtuki![]()

AmenMlale unono...Mungu awalinde na kuwapigania hata asubuhi..nawapenda sana

Hapa kutatoka kitu heavy sana 💪🏼😜
Naja na yangu 😂Karibuni tukule maparachichiView attachment 1760816
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ndyo, we npe location ntimbe kesho maeneo hayo😀😀😀Hahaha na wewe unataka maparachichi?