Ni kweli, ila omba ruhusa kabisa kwa Mzee, nisije kutozwa faini bure na ugeni wangu![]()
![]()
Naomba location &code ofisi ya Waziri Mkuu.Ruhusa nimeshapewa
Nitaweka mkuu ungeanza wewe sasa
Last friday niliweka mkuuNitaweka mkuu ungeanza wewe sasa
Sikuona mkuu .
Inshaalah mkuu.
Ukiniandikia kabarua ntakahifadhi chini kabisa kwenye trunk.Mzuri ama mbaya?
Ndio nimefunga je wewe?
Hapana mkuu, mm sijafunga. Naomba nikuulize kwann unafunga?Ndio nimefunga je wewe?