geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,227
Ngoja aje bloako aseme Solar panelkipara hakuna nywele staili ya kiduku itapitaView attachment 1760390
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app






Nimekuja Tunduma huku, nikiwa narudi nitakuja kulala Mbeya. Kama hautajali naomba unitembelee nipate hizo zawadi 😋😋Upo sehemu gani nikuletee maparachichi?
Nitakuja, ngoja nitoke Tunduma.
Nimekuja Tunduma huku, nikiwa narudi nitakuja kulala Mbeya. Kama hautajali naomba unitembelee nipate hizo zawadi
Hivi nikianza kuzurura hapo Mbeya sitachunwa ngozi, au siku hizi wameokoka??
Ukininyima chai sili chakula!😖
Koboko ywateleza hapo mkuu! 🤣 🤣 🤣kipara hakuna nywele staili ya kiduku itapitaView attachment 1760390
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Nitafurahi sanaUkininyima chai sili chakula!![]()

Boss hebu shusha tena ile rabaKoboko ywateleza hapo mkuu!![]()
![]()
![]()

😂 😂 😂
Asante kunihakikishia hilo,Mbona sisi tupo hapa siku zote na hatujachunwa? Wacha mambo yako
Chai iko wapi?😖😖😖
Sasa siwezi kuchagua zawadi bana, wewe niletee chochote tu kitakachokupendezaAsante kunihakikishia hilo,
Niambie nikuletee zawadi gani kutoka huku??
Isiwe kitabu cha Tumwimbie Bwana alichoagiza Saint Anne tu, huyo atakipata nikifika Dodoma
Niliagiza tumwimbie Bwana na TenziAsante kunihakikishia hilo,
Niambie nikuletee zawadi gani kutoka huku??
Isiwe kitabu cha Tumwimbie Bwana alichoagiza Saint Anne tu, huyo atakipata nikifika Dodoma