Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Usinicheke boss[emoji4]
Weka picha

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app

IMG_20210422_155050.jpg
 
Na iwe hivyo
Katika jina la Yesu[emoji120]

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Bonus

Don’t expect everything to be easy. Don’t expect everyone to be for you. If it hasn’t happened yet, that doesn’t mean it’s not going to happen. The victory is on the other side of the opposition.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Yaani hata mimi kuna wakati huwa najishangaa ila ndiyo nimejikuta tu nimezaliwa hivyo! Kwahiyo mwisho wa siku nikaona haya mambo ya mapenzi pengine labda siyo fungu langu wacha tu niwaachie wengine wanaoyafaidi!

Ujue unanifanya hadi naona aibu sasa ninavyojielezea [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Binafsi nimeona aibu kusoma[emoji23][emoji23][emoji23], hayo maparachichi mnayokula hukó mbeya hayana faida kumbe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom