geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,227
Ntakushtua basiN
Ndyo, we npe location ntimbe kesho maeneo hayo![]()
🙏🙏🙏Ntakushtua basi
Hili mix la kisela, hata silielewi mwenyewe, ku wali, viazi, biringanya nk 🤣🤣🤣
Kitimoto time!😄😄😄
AiseeHili mix la kisela, hata silielewi mwenyewe, ku wali, viazi, biringanya nk![]()





AminSiku hii ya leo ikawe ya amani, baraka na mafanikio kwetu sote.
AmeenSiku hii ya leo ikawe ya amani, baraka na mafanikio kwetu sote.

Ni kweli, ila omba ruhusa kabisa kwa Mzee, nisije kutozwa faini bure na ugeni wangu😃 🙈Wee kweli mpemdwa?
Hongera sanaa chief,unaitendea haki nafasi yako,muda na watoto ni sadaka hata kwenye majukumu yetu ya kila siku.She is doing good todayView attachment 1754413