Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 47,141
- 188,555
Ana mshepu kama Dada angu, mpaka kuna time naona kazi kuongozana nae akiwa hatoki na gari 😀😀
Ana mshepu kama Dada angu, mpaka kuna time naona kazi kuongozana nae akiwa hatoki na gari 😀😀
Haha...wembamba wangu wa asili mkuu.Na bado hunenepi mwili msumari
Hahaha mwili hauna shukurani.Haha...wembamba wangu wa asili mkuu.
Kama kula nakula mno ila kunenepa sasa ndo bhasi tena
Kwa kweli mwili msumari
Vipi kwema lakini Depal
View attachment 1712356
Ila huwa najikubali sana kuwa na mwili/wembamba wa hivi maana sipungukiwi chochote/loloteHahaha mwili hauna shukurani.
Kwema Ely..
Hio Pete imekosa mtu wa kuivika sehemu sahihi ?
Tamuuuh, napenda za
Mbele mbele huko, wacha weeLook at them...they think they own the land or something!
How am I supposed to get back to work after lunch?
Damn geese!!!
View attachment 1712586
View attachment 1712587
Hapo ndo imefika 🙂Hio Pete imekosa mtu wa kuivika sehemu sahihi ?