geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,227
wajasi ni kifupi cha wajasiriamali wa coedHivi ujasi Au wajasi ndiyo nini
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
wajasi ni kifupi cha wajasiriamali wa coedHivi ujasi Au wajasi ndiyo nini
ulikua info au bado uko info??Yaani hauwezi amini eti hata B Mkapa sijafika na karibu kila siku nilikuwa napanda daladala za huko! Ila nashukia either bank (nikiwa naenda utawala) au informatics sijawahi kuendelea zaidi ya pale ila kule social nimezururamo kidogo!
Cheap is always expensive

Hahaaa mimi UDOM naendaga kuzurura tu mkuu! Sijawahi kuwa mwanafunzi wa UDOM!
Aisee hivi kumbe nimeandika bro, nisamehe sanaaa.Daah kwahiyo ndiyo umeshatusahau hadi Jinsia zetu bro
Poleh mzazi
ndio ujue college zote hizo??Hahaaa mimi UDOM naendaga kuzurura tu mkuu! Sijawahi kuwa mwanafunzi wa UDOM!
ndio ujue college zote hizo??
nna waswas ww ni chuomate
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Yeah, tayari. Haya masindano ya tetanus siyapendi aisee.Poleh mzazi
Ushachoma sindano?.
Lemme guess....Wachina watakuwa wamezitengeneza hizo nails 😁
Hizo ni zako mrembo?
Nani kakuambia uking'atwa na mbwa unachoma tetenus mkuu?Yeah, tayari. Haya masindano ya tetanus siyapendi aisee.
Sasa hivi bega lote linauma balaa.
But guess what though? I see $$$$....nshawasiliana na lawyer.
Mbwa ni wa jirani. Hakuwa kwenye leash.
Community subdivision guidelines zinataka mbwa wote wawe kwenye leash wakiwa nje.
I’m about to get paaaaaaid 😁
Daktari.Nani kakuambia uking'atwa na mbwa unachoma tetenus mkuu?