Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,679
- 208,843
Ana mshepu kama Dada angu, mpaka kuna time naona kazi kuongozana nae akiwa hatoki na gari 😀😀
Ana mshepu kama Dada angu, mpaka kuna time naona kazi kuongozana nae akiwa hatoki na gari 😀😀
Haha...wembamba wangu wa asili mkuu.Na bado hunenepi [emoji3][emoji3] mwili msumari
Hahaha mwili hauna shukurani.Haha...wembamba wangu wa asili mkuu.
Kama kula nakula mno ila kunenepa sasa ndo bhasi tena
Kwa kweli mwili msumari[emoji1]
Vipi kwema lakini Depal
View attachment 1712356
Ila huwa najikubali sana kuwa na mwili/wembamba wa hivi maana sipungukiwi chochote/lolote[emoji1][emoji1]Hahaha mwili hauna shukurani.
Kwema Ely..
Hio Pete imekosa mtu wa kuivika sehemu sahihi ?
Tamuuuh, napenda za [emoji1636]
Mbele mbele huko, wacha weeLook at them...they think they own the land or something!
How am I supposed to get back to work after lunch?
Damn geese!!!
View attachment 1712586
View attachment 1712587
Hapo ndo imefika 🙂Hio Pete imekosa mtu wa kuivika sehemu sahihi ?